MATOKEO YA MECHI BAINA YA YANGA VS AZAM JULY 29,2015.haya bapa...
YANGA na AZAM FC zimekutana july 29 katika robo fainali ya nne ya kombe la KAGAME 2015, mchezo huoukimalizika kwa suluhu kwa mujibu wa sheria ya CECAFA mechi za robo fainali na nusu fainali huwa hawana dakika thelathini za nyongeza hivyo ikalazimika kupigiana penati.Mchezo umemalizika kwa klabu ya AZAM FC kushinda kwa jumla ya penati 5-3 mikwaju ya AZAM FC ilipigwa na Kipre Tchetche, John bocco, Himid mao, Pascal wawa, na Agrey moris huku penati za YANGA zikipigwa na Salum telela, Nadir Canavaro, Geofrey mwashinya na Haji mwinyi penati yake kudakwa na Maula.
Kwa matokeo hayo AZAM FC utacheza mchezo wa nusu fainali july 31 siku ya ijumaa.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni